Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Viwanja vya Kufurahisha Watoto vya Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 12 Agosti, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kufungua Viwanja vya Kufurahisha Watoto vya Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 12 Agosti, 2026.
Matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Viwanja vya Kufurahisha Watoto vya Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 12 Agosti, 2026.
Notification texts go here... Link
Reach out!