IFM YAENDELEA KUTOA ELIMU INAYOENDANA NA MAHITAJI YA TEKNOLOJIA Na Mwandishi Wetu, Dodoma CHUO cha Uhasibu na Usimamizi wa Fedha (IFM) kimesema kimejipanga kuendelea kutoa elimu inayokwenda sambamba na mahitaji ya…
MWENYEKITI MGONJA APANIA KUWAKOMBOA KIUCHUMI WANAWAKE WA KATA ZA KONGOWE NA KIBAHA Na Victor Masangu,Kibaha Mwenyekiti wa Jumuiya ya wanawake (UWT) Wilaya ya Kibaha mjini Elina Mgonja katika kuunga mkono juhudi za Rais Dkt.Samia …
Wajawazito Kunufaika na Teknolojia Nafuu ya UDOM Na Mwandishi Wetu CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM), kupitia Mradi wa SAFARI unaotekelezwa kwa ushirikiano na Liverpool School of Tropical Medicine, kime…
GST YAWEKEZA UJUZI, TEKNOLOJIA KUBORESHA TAFITI ZA MADINI NCHINI Mkurugenzi wa Utawala na Uendeshaji wa GST, Neema Mhagama akizungumza na waandishi wa habari alipotembelea banda la GST katika Maonesho ya Kilimo…
TANZANIA NA MAREKANI ZAAZIMIA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Baloz…
DKT. MWIGULU: TUBORESHE VIWANGO KWENYE BIDHAA WAZIRI Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa wito kwa wazalishiaji mbalimbali nchini waboreshe bidhaa zao ili zimudu ushindani wa kimataifa na ziweze kush…
Kafulila: Ubia si hiari, ni mkakati wa kuikomboa nchi kiuchumi Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-CENTRE), David Kafulila, amesema kuwa mfumo wa ub…
UHIFADHI WA MIKOKO WAPEWA MSUKUMO MPYA TANGA Na Oscar Assenga,TANGA Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dkt. Batilda Burian, amewataka wananchi kuacha ukataji holela wa mikoko na kushiriki kikamilifu …
Global kufanya maonesho ya elimu Mwanza kesho Na Mwandishi Wetu, Zanzibar GLOBAL Education Link (GEL) imesema jumla ya wanafunzi, wazazi na walezi 1,113 wamefikiwa na kupatiwa huduma kupitia maon…