UJENZI WA MINARA 758 WAKAMILIKA, WANANCHI MILIONI 8.5 VIJIJINI WANUFAIKA ➡️Vijiji 1,407 vyafikiwa na mawasiliano. Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) imekamilisha ujenzi wa minara yote 758 kati ya 758, …