SOKO BUBU LA MADINI LAGUNDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM ▪️Watuhumiwa 14 wakamatwa na tuhuma za utoroshaji madini ▪️Waigeuza nyumba ya kupanga kama soko ▪️Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi kuwabaini na k…
NGORONGORO NA SIMBA DAY NI BAO LA KISIGINO Waswahili husema Chanda chema huvikwa pete msemo ambao umedhihirika siku ya mnyama “Simba Day “ baada ya klabu hiyo kumtunuku tuzo Kamishna wa Uhifad…
WAKAZI WA MBAGALA KUTOKA KUGOMBEA DALADALA HADI KULA KIYOYOZI Na Mwandishi Wetu KUNA wakati safari ya kutoka Mbagala kwenda katikati ya Jiji la Dar es Salaam haikuwa tu suala la kufika unakokwenda, bali ilikuwa…
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA WANAJUMUIYA YA SEMINARI YA URU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Ibada ya Misa Takatifu Maalum ya Wanajumuiya wa Uru Se…
MHANDISI SWEDI: NANENANE NI FURSA YA KUIMARISHA SEKTA YA MADINI DODOMA Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Aziza Swedi, amesema Maonesho ya Nanenane ni jukwaa muhimu la kuwaelimisha wananchi kuhusu …
TANZANIA YASHIKA NAFASI YA TATU AFRIKA KWA UBORA WA SEKTA YA MBEGU Na Scolastica Sambi – MAELEZO Tanzania imeendelea kuthibitisha mafanikio yake katika tasnia ya mbegu baada ya kushika nafasi ya tatu kati ya nchi 55…
AKWILAPO ATOA WITO ELIMU, AMANI KUPEWA KIPAUMBELE ITILIMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akizindua mradi wa shule Mpya ya Awali na msingi katika Kijiji Cha Lagangabil…
KAMPUNI YA AVOAFRICA YAWAFIKIA WAKULIMA WA PARACHICHI ARUSHA, YAAHIDI SOKO LA UHAKIKA KWA PARACHICHI AINA YA HASS NA FUERTE Afisa Mazingira wa kampuni hiyo,Getruda Salingo akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja Themi, Nj…
DKT. KIULA AUTELIWA BOSI TAFICO, MEJA JENERALI MKEREMY AWA BALOZI MALAYSIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na kumpangia kituo Balozi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa…
DKT. MSONDE: LINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KULINDA FEDHA ZA UMMA Na Mwandishi Wetu, Dodoma Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika kulinda miu…
TIA YAHAMASISHA MATUMIZI YA TEHAMA NA AKILI MNEMBA KUKUZA KILIMO, BIASHARA NA UJASIRIAMALI Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), Profesa William Palangyo, amewakaribisha wananchi kutembelea banda la taasisi hiyo katika M…
MKURUGENZI MTENDAJI WA STANBIC BANK TANZANIA KUZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA INFRA FOR AFFRICA FORUM 2026 DAR ES SALAAM, Tanzania – Mkurugenzi Mtendaji wa Stanbic Bank Tanzania, Manzi Rwegasira, atajumuika na viongozi wa kimataifa, mawaziri, watunga sera,…
SELF MF YATOA FURSA ZA MIKOPO YA KILIMO NA BIMA ZA MAZAO MAONESHO YA NANENANE Mfuko wa SELF (SELF MF) umezitaka wananchi, hususan wakulima na vijana, kutumia fursa za mikopo nafuu zinazotolewa na taasisi hiyo ili kuwekeza katik…
DKT. MWINYI: USHIRIKIANO WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI NI NGUZO YANGUZO YA KUFANIKISHA DIRA YA TAIFA 2050 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhiwa nyenzo ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendele…
NIT YAZALISHA WATALAAMU WA SGR NA USAFIRI WA MAJINI Na Baraka Messa – MAELEZO Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimesema kinaendelea kupanua wigo wa mafunzo kwa kuanza kuzalisha wataalam wa kada …
WACHAKATAJI WA MAFUTA YA PARACHICHI WAIPONGEZA TADB KWA KUWASHIKA MKONO Na. Fullshangwe Blog, Dodoma BENKI ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) imeendelea kuwawezesha wajasiriamali na wawekezaji wa sekta ya kilimo kupitia utoa…