RAIS DKT. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA IKULU TUNGUU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchi…
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA OACPS Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, …
PROFESA MKUMBO: ZIARA YA RAIS SAMIA URUSI IMEIBUA FURSA MPYA KATIKA SEKTA TISA Na John Bukuku – Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, ameeleza umuhimu wa ziara ya Rais wa Jamhuri…
TURACO COLLECTION YANG’ARA KARIBU-KILIFAIR 2026, YAISIFU TANZANIA KIMATAIFA Na Mwandishi Wetu, Arusha MKURUGENZI wa Mauzo wa Turaco Collection Tanzania, Florenso Kirambata, amesema maonesho ya Karibu-KiliFAIR 2026 ni jukwaa …
BINGWA WA MASUMBWI CRAWFORD KUTOKA NCHINI MAREKANI ATINGA HIFADHI YA TAIFA TARANGIRE Na. Calvin Katera – Babati. Bondia maarufu duniani toka nchini Marekani Terence “Bud” Crawford amejikuta katika bashasha kubwa ndani ya Hifadhi ya T…
WAZIRI WA FEDHA AZIHIMIZA TAASISI ZA FEDHA KUPUNGUZA RIBA NA GHARAMA ZA MIKOPO Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza wakati akifungua Semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Mkutano Mkuu wa 31 wa Wa…
ORYX GAS YAENDELEA KUHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA, YAZINDUA DUKA DAR KAMPUNI ya Oryx Gas Tanzania imesema mkakati wake ni kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia huku p…
SERIKALI KUONGEZA BAJETI YA UJENZI WA BARABARA ZA LAMI NCHINI Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI imesema itaendelea kuujengea uwezo wa kibajeti Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ili k…
SERIKALI YAENDELEA KUWASHIKA MKONO WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU Na. Meleka Kulwa- Fullshangwe Blog, Dodoma Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sit…
DKT. NCHIMBI AKAGUA UKARABATI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS POSTA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi leo tarehe 29 Januari 2026, ametembelea na kukagua ukarabati wa Je…