Mchezaji wa Timu ya Dream akiwa mpira akijiandaa kumpita mchezaji wa Timu ya Miembeni, wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Kikapu Kanda ya Unguja, mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong.Timu ya Miembeni imeshinda mchezo huo kwa Vikapu 53-51.
Notification texts go here... Link
Reach out!






