DKT. MWINYI: USHIRIKIANO WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI NI NGUZO YANGUZO YA KUFANIKISHA DIRA YA TAIFA 2050

DKT. MWINYI: USHIRIKIANO WA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI NI NGUZO YANGUZO YA KUFANIKISHA DIRA YA TAIFA 2050
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhiwa nyenzo ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika hafla ya mkutano wa mazungumzo maalum kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sekta Binafsi kuhusu utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, iliyofanyika leo Ikulu Dar es Salam, tarehe 3 Agosti, 2026. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki mkutano wa mazungumzo maalum kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Sekta Binafsi kuhusu utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Mkutano huo umefanyika leo Ikulu Dar es Salam, tarehe 3 Agosti, 2026. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema ushirikiano wa karibu kati ya Serikali na Sekta Binafsi ni nguzo muhimu katika kufanikisha utekelezaji wa…