WAZIRI DKT. GWAJIMA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI WA WIZARA.

WAZIRI DKT. GWAJIMA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA VIONGOZI WA WIZARA.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza wakati akifungua Kikao kazi cha Mkakati kwa Viongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika tarehe 30 Januari, 2026 jijini Dodoma. Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wakiwa katika Kikao kazi cha Mkakati kwa Viongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika tarehe 30 Januari, 2026 jijini Dodoma. Na Jackline Minja WMMJWM-Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewataka viongozi wa Wizara hiyo kuwajibika katika utekekelezaji wa majukumu yao kimkakati ili kuwahudumia wananchi kwa maendeleo na ustawi wao. Waziri Dkt. Gwajima ameyasema hayo wakati akifungua kikao kazi hiki ni jukwaa muhimu la kutafakari kwa Kikao kazi cha Mkakati kwa Viongozi hao kilichofanyika tarehe 30 Januari, 2026 jijini Dodoma. Ameongeza kuwa Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Sukuhu Hassan imeweka msisitizo mkubwa ka…