WAZIRI JUMA HOMERA AWATAKA WANANCHI WA WILAYA YA NAMTUMBO KUSHIRIKI KWENYE UJENZI WA MIRADI YA MENDELEO

Waziri wa katiba na sheria ambye ni Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mkoani Ruvuma Dkt Juma Zuber Homera kulia,akizungumza na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mlilayoyo Halmashauri ya wilaya Namtumbo aliowakuta kwenye ujenzi wa mradi wa shule  mpya ya Sekondari Mlilayoy ……… Na Mwandishi wetu, Namtumbo MBUNGE wa jimbo la Namtumbo Dkt Juma Homera,amewataka wananchi kujitolea na kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa miradi ya mendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao. Amesisitiza kuwa,ushiriki wa wananchi ni sehemu muhimu ya kuharakisha maendeleo na kuboresha huduma katika jamii. Dkt Homera amesema hayo jana wakati akizindua ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Mlilayoyo  kaya ya Hanga inayojengwa kwa gharama ya Sh.milioni 560. Akizungumza na wananchi waliokuwa katika eneo la mradi huo Dkt Homera alisema,maendeleo ya jamii hayawezi kuachwa kuwa jukumu ya serikali pekee,bali yanahitaji ushirikiano wa karibu wa wananchi kupitia nguvu zao. “ukishiriki kwenye miradi ya maendeleo,wewe ni ni mzalendo wa k…