TANZANIA YAJIPANGA KUPAMBANA NA UHARIBIFU WA ARDHI, UKAME UNCCD COP17
TANZANIA YAJIPANGA KUPAMBANA NA UHARIBIFU WA ARDHI, UKAME UNCCD COP17 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akishiriki Mkutano wa Kumi na Saba wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na na Ukame (UNCCD COP 17) unaofanyika katika Jiji la Ulaanbaatar nchini Mongolia, Agosti 24, 2026. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (kushoto) akizungumza na Waziri wa Kilimo na Usalama wa Chakula nchini Sudani Kusini Mhe, Clement Juma walipokutana katika Mkutano wa Kumi na Saba wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na na Ukame (UNCCD COP 17) unaofanyika katika Jiji la Ulaanbaatar nchini Mongolia, Agosti 24, 2026. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akishiriki Mkutano wa Kumi na Saba wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na na Ukame (U…