π₯ SIRI YAFICHULIWA! SBL YAZINDUA ORIJIN, KINYWAJI CHA KILEVI KINACHOTOKANA NA MITISHAMBA YA KIAFRIKA
π₯ SIRI YAFICHULIWA! SBL YAZINDUA ORIJIN, KINYWAJI CHA KILEVI KINACHOTOKANA NA MITISHAMBA YA KIAFRIKA
Mitishamba imekuwa sehemu ya maisha ya Watanzania kwa muda mrefu. Mimea, mizizi na matunda vimekuwa vikihusishwa na hadithi, desturi na simulizi zilizopitishwa kutoka kizazi hadi kizazi. Lakini swali lilikuwa: Je, inawezekana kuona mitishamba katika mfumo wa kinywaji cha kisasa? Jibu limefika. Serengeti Breweries Limited imezindua ORIJIN , kinywaji kipya cha kilevi kinachotokana na mitishamba ya Kiafrika—herbs, roots na fruits ambazo zimekuwa zikijulikana katika tamaduni mbalimbali za bara hili. ORIJIN haikuja ghafla. Kampeni ya ORIJINO MITISHAMBA ilianzisha mazungumzo makubwa mitandaoni. Watanzania walishiriki hadithi zao. Creators na majukwaa mbalimbali yalijadili nafasi ya mitishamba katika maisha ya kila siku. Watu walibishana. Walikubaliana. Walishangaa. Hakuna aliyefahamu kuwa yote yalikuwa yakipelekea kitu kikubwa. ORIJIN inaleta mchanganyiko wa uchungu na utamu. Ni ladha inayotokana na viungo vya kiasili, lakini imetengenezwa kwa viwango vya kisasa. Inapatikana katika aina mbili: RTD na…