MKURUGENZI MKUU RUWASA AAGIZA KASI MRADI WA MAJI KAHAMA–USHETU, “TUTEMBEE NA MAJI”

MKURUGENZI MKUU RUWASA AAGIZA KASI MRADI WA MAJI KAHAMA–USHETU, “TUTEMBEE NA MAJI”
Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akiwa ameambatana na wataalamu mbalimbali katika moja ya matanki ya maji wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Kahama - Ushetu. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akiwa ameambatana na wataalamu mbalimbali katika moja ya matanki ya maji, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu. Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akizungumza katika moja ya matanki ya maji, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu. Meneja Mradi kutoka RUWASA, John Msengi  akieleza kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji Kahama–Ushetu. Muonekano wa sehemu ya mabomba katika mradi wa maji Kahama–Ushetu Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Mhandisi Wolta Kirita, akizungumza wakati wa ziara katika Mradi wa Maji Kahama - Ushetu. Na Kadama Malunde – Malunde 1 Blog Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mhandisi Wolta Kirita, amewataka Mameneja wa RUWASA ngazi ya mikoa na wilaya k…