MBUNGE WA ITWANGI 'AZZA' AWAANDALIA WANAFUNZI WA LUHUMBO SEKONDARI CHAKULA CHA PAMOJA, ATOA AHADI KWA WATAKAOFANYA VIZURI KWENYE MTIHANI

MBUNGE WA ITWANGI 'AZZA' AWAANDALIA WANAFUNZI WA LUHUMBO SEKONDARI CHAKULA CHA PAMOJA, ATOA AHADI KWA WATAKAOFANYA VIZURI KWENYE MTIHANI
Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, akiwapakulia chakula wanafunzi wa Shule ya Sekondari Luhumbo baada ya kuwaandalia chakula cha mchana, Agosti 7, 2026. Picha na Kadama Malunde Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, akila chakula cha pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Luhumbo baada ya kuwaandalia chakula cha mchana, Agosti 7, 2026. Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, akila chakula cha pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Luhumbo baada ya kuwaandalia chakula cha mchana, Agosti 7, 2026. Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, akilishwa chakula na mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Luhumbo wakati wa chakula cha pamoja alichowaandalia wanafunzi hao, Agosti 7, 2026. Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, akipiga picha ya kumbukumbu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Luhumbo baada ya kuwaandalia na kushiriki nao chakula cha pamoja, Agosti 7, 2026. Na Marco Maduhu, Shinyanga Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, amewaandalia …