MBUNGE AZZA AHITIMISHA ZIARA KIJIJI KWA KIJIJI AWAMU YA KWANZA ITWANGI, AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO

MBUNGE AZZA AHITIMISHA ZIARA KIJIJI KWA KIJIJI AWAMU YA KWANZA ITWANGI, AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MIRADI YA MAENDELEO
Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nyanshimbi , Kata ya Puni, wakati wa ziara yake ya kijiji kwa kijiji katika Jimbo la Itwangi, Agosti 16, 2026. Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nyanshimbi, Kata ya Puni, wakati wa ziara yake ya kijiji kwa kijiji katika Jimbo la Itwangi, Agosti 16, 2026. Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ihalo  kata ya Ilola wakati wa ziara yake ya kijiji kwa kijiji katika jimbo hilo, Agosti 16, 2026. Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ihalo  kata ya Ilola wakati wa ziara yake ya kijiji kwa kijiji katika jimbo hilo, Agosti 16, 2026.  Picha na Kadama Malunde Na Marco Maduhu, SHINYANGA Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Azza Hillal Hamad, amehitimisha ziara ya kijiji kwa kijiji katika jimbo hilo kwa awamu ya kwanza, huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia…