BARRICK BULYANHULU YABADILISHA MAISHA YA WANANCHI BUGARAMA KUPITIA MIRADI YA UFUGAJI NYUKI NA MAZINGIRA
BARRICK BULYANHULU YABADILISHA MAISHA YA WANANCHI BUGARAMA KUPITIA MIRADI YA UFUGAJI NYUKI NA MAZINGIRA
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Mwang’onda, akitembelea Kikundi cha Ufugaji Nyuki na Utunzaji wa Mazingira cha Twikondele, kinachonufaika na uwezeshaji wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu. Asali iliyozalishwa na Kikundi cha Ufugaji Nyuki na Utunzaji wa Mazingira cha Twikondele , kinachonufaika na uwezeshaji wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu. Sehemu ya mizinga ya ufugaji nyuki inayotumiwa na Kikundi cha Ufugaji Nyuki na Utunzaji wa Mazingira cha Twikondele , kinachonufaika na uwezeshaji wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Mwang’onda, akitembelea Kikundi cha Ufugaji Nyuki na Utunzaji wa Mazingira cha Twikondele , kinachonufaika na uwezeshaji wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu. Sehemu ya vitalu vya miche ya miti ya matunda na mbao katika Kikundi cha Ufugaji Nyuki na Utunzaji wa Mazingira cha Twikondele. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Mwang’onda, akizungumza wakati wa mbio za mwenge katika Kikundi cha Ufugaji Nyuki na Utunz…