WANANCHI WARIDHISHWA NA HUDUMA ZA WIZARA YA FEDHA SABASABA
WANANCHI WARIDHISHWA NA HUDUMA ZA WIZARA YA FEDHA SABASABA Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Prof. Siasa Mzenzi, akiwa katika Banda la Wizara ya Fedha, wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Wizara ya Fedha, wakiendelea kutoa huduma kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha, wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Watumishi wa taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Fedha, ambazo zinapatikana ndani ya Banda la Wizara ya Fedha, wakiendelea kutoa huduma kwa wananchi waliotembelea Banda hilo, wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam) Na Eva Ngowi na Chedaiwe Msuya, WF Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ta…