SIMBA SC MAMBO MAGUMU LIGI YA MABINGWA BARANI AFRIKA

Wekundu wa Msimbazi, Simba SC, wamefanikiwa kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Petro de Luanda katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi, uliopigwa leo, tarehe 7 Februari 2026, nchini Angola. Kufuatia matokeo hayo, ndoto za Simba SC za kusonga mbele katika michuano hiyo zimefikia tamati baada ya kushindwa kufikisha idadi ya pointi zinazohitajika