Serilkali yaridhishwa na wafanyabiashara kufuata bei elekezi iliyowekwa na Serikali
Serilkali yaridhishwa na wafanyabiashara kufuata bei elekezi iliyowekwa na Serikali
Kaimu Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda ambae pia ni Waziri wa Kazi na Uwekezaji Sharif Ali Sharif akionesha kitu wakati alipotembelea Sehemu ya kuuzia Nyama katika Soko la Darajani wakati alipofanya ziara ya kutembelea Masoko mbalimbali kwa lengo la kuangalia wafanya Biashara kufuata Sharia za Biashara ikiwa pamoja na Bei Elekezi,Mizani,na Uwekaji wa Bidhaa Zanzibar. Kaimu Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda ambae pia ni Waziri wa Kazi na Uwekezaji Sharif Ali Sharif akielekeza jambo kwa Mfanyabiashara katika Soko la Darajani wakati alipofanya ziara ya kutembelea Masoko mbalimbali kwa lengo la kuangalia wafanya Biashara kufuata Sharia za Biashara ikiwa pamoja na Bei Elekezi,Mizani,na Uwekaji wa Bidhaa Zanzibar. -Kaimu Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda ambae pia ni Waziri wa Kazi na Uwekezaji Sharif Ali Sharif akiangalia Gamba la Bei wakati alipofanya ziara ya kutembelea Masoko mbalimbali kwa lengo la kuangalia wafanya Biashara kufuata Sharia za Biashara ikiwa p…