IAEA yajionea mageuzi ya utoaji huduma katika Taasisi ya Ocean Road
IAEA yajionea mageuzi ya utoaji huduma katika Taasisi ya Ocean Road
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kiufundi kwa Afrika Gashaw Gebeyehu Wolde wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki (IAEA)akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembembelea mashine za kisasa katika Taasisi ya Ocean Road jijini Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Ocean Road Dkt.Diwani Msemo akizungumza kuhusiana na mikakati ya Taasisi mara baada ya kutembelewa na IAEA jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) Profesa Najat Kassim Mohammed akizungumza kuhusiana na ujio wa IAEA katika Taasisi ya Ocean Road kuangalia mashine za miozi, jijini Dar es Salaam. *Waahidi kuwa wa kwanza kudhibitisha Ithibati ya ubora. Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Kimataifa la Nguvu za Atomiki (IAEA) limesema kuwa Taasisi ya Ocean Road imefanya mageuzi katika utoaji huduma za saratani. Akizungumza katika ziara ya Shirika hilo likiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kiufundi kwa Afrika Gashaw Gebeyehu Wolde amesema Taasisi ya Ocean Road katika…