BODI YA WAKURUGENZI NCAA YAANZA VIKAO VYA KISEKTA

BODI YA WAKURUGENZI NCAA YAANZA VIKAO VYA KISEKTA
Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) inayoongozwa na Mwenyekiti wake, Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Venance Salvatory Mabeyo imeanza Vikao vya Bodi hiyo ngazi ya Kamati za Kisekta kujadili utekelezaji wa Majukumu mbalimbali ya shirika kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita (Julai- Desemba 2025) mwaka wa Fedha 2025/2026