OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI YA NETIBOLI YA MUUNGANO
OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI YA NETIBOLI YA MUUNGANO
Kocha wa Timu ya Mpira ya Pete ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) akizungumza na wachezaji wa timu wakati wa kipindi cha mapumziko katika mchezo baina yao na Timu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) uliofanyika katika Uwanja wa Amani Complezx, Zanzibar. Mchezo huo ulimalizika kwa Timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuibuka na Ushindi wa Magoli 45 kwa 34. MKurugenzi Msaidizi Idara ya Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bi. Hanifa Selengu akizungumza jambo na wachezaji wa Timu wakati wa mchezo baina ya timu hiyo na Timu ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) uliofanyika katika Uwanja wa Amani Complezx, Zanzibar. Mchezo huo ulimalizika kwa Timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais kuibuka na Ushindi wa Magoli 45 kwa 34. Sehemu ya wachezaji wa akiba na benchi la ufundi la Timu ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) wakifuatilia maelekezo ya kocha wa timu hiyo Bw. Mafuru Buriro wakati wa mchezo baina ya timu hiyo na Timu ya Jeshi Jeshi la K…