Niffer Afunguka Kwa Mara ya Pili Kuhusu Kuachana na Mume Wake OG

Niffer Afunguka Kwa Mara ya Pili Kuhusu Kuachana na Mume Wake OG
YAAN NAJUA HII VIDEO MY FAMILY WILL BE MAD BUT NO. Hili suala lazima mjue kwann nililelete hapa! Ni mm niliwaletea huyu mtu kwa mara ya kwanza mtandaon 28/10/2023 ! Acc yake ikiwa na follower 550, nikawatambulisha biashara yake, nikasafiri nae nchi tofaut kibiashara, nikatengeza base ya uaminifu kwake,Mkajua na mkamuamini through me. Alipopata matatizo akafunga duka, nn mm nilikuja kwenu kuwaomba mumsupport upya, nikafungua duka lake mwenyewe ni nikawa naaka mwenyewe nawauzia macover na sim na matangazo juu i hope mnakumbuka, i did my best for you guys to trust him again maana hata mm niliamin ni matatizo tu huwa yanaisha kuibiwa kupo. Waliowah pata changamoto kwake wapo waliokua wananitafta mm na wanajua nilikua nasaidia vipi na hapo skua nmeenda gerezan nilkua na uhuru wangu! So ni lazimaaaa lazimaaaa niwaambie kua am not close to him so if you deal with him deal nae kama wewe!! Mm msije dukani kwangu na vurugu na kuniweka kwenye post mnazompost sponser adds na mimi mkaniweka NOO. Hayo yo…