MHE. BALOZI OMAR AKUTANA NA UJUMBE WA WIZARA YA ELIMU KUJADILI MIKAKATI YA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU

MHE. BALOZI OMAR AKUTANA NA UJUMBE WA WIZARA YA ELIMU KUJADILI MIKAKATI YA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wa tatu kulia), Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) (wa tatu kushoto), Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Wanu Hafidh Ameir (wa pili kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Daniel Mushi, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao cha kujadili masuala mbalimbali kuhusu maendeleo ya sekta ya elimu nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Na. Farida Ramadhan, WF, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe.Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo Ujumbe kutoka Wizara ya Elimu Sayansi Na Teknolojia ikiongozwa na, Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb), katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo mazungumzo yao yakij…