WAZIRI DEUS SANGU AIPONGEZA PSSSF KUFIKISHA THAMANI YA MFUMO TRILIONI 16.96 NA KUIMARISHA HUDUMA KWA WASTAAFU

WAZIRI DEUS SANGU AIPONGEZA PSSSF KUFIKISHA THAMANI YA MFUMO TRILIONI 16.96 NA KUIMARISHA HUDUMA KWA WASTAAFU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu (katikati), akizungumza alipotembela bdna la mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi wa umma (psssf) kwenye maonesho ya 9 ya teknolojia ya madini mkoani geita. Kulia ni Katibu Tawala Mkoa wa Geita Bw. Mohammed Gombati na kushoto ni Kaimu Meneja wa PSSSF Kanda ya Ziwa Magharibi, Bw. Nathan Makuchilo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la PSSSF kwenye Maonesho ya 9 ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita. Anayemshuhudia ni Kaimu Meneja wa PSSSF Kanda ya Ziwa Magharibi, Bw. Nathan Makuchilo Geita, Septemba 24, 2026 — Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, ameupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kuwa mfano wa kuigwa kutokana na mafanikio makubwa katika kuimarisha thamani ya mfuko na kuboresha huduma kwa wanachama na wastaafu. Mhe. Sangu ame…