Posts

TAIFA GAS YAENDESHA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA UJAZAJI NA USAMBAZAJI WA GESI HARAMU MKOA WA DAR ES SALAAM

TAIFA GAS YAENDESHA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA UJAZAJI NA USAMBAZAJI WA GESI HARAMU MKOA WA DAR ES SALAAM
Meneja Mauzo wa Taifa Gas Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Joseph Richard (kulia) akikabidhi cheti kwa mmoja wa washiriki wa mafunzo. Meneja Mauzo wa Mkoa wa Dar es Salaam wa Taifa Gas, Enock Ngulwa , akitoa maelezo na ufafanuzi ya jinsi ya matumizi sahihi ya gesi kwenye semina ya siku moja kwa wawakilishi wa Umoja wa Ulinzi Shirikishi Tanzania (USHITA) kwa Mkoa wa Dar es Salaam Meneja Mauzo wa Mkoa wa Dar es Salaam wa Taifa Gas, Enock Ngulwa , akitoa maelezo na ufafanuzi ya jinsi ya matumizi sahihi ya gesi kwenye semina ya siku moja kwa wawakilishi wa Umoja wa Ulinzi Shirikishi Tanzania (USHITA) kwa Mkoa wa Dar es Salaam Washiriki wa mafunzo wakionesha vyeti vyao baada ya kukamilisha mafunzo ya matumizi sahihi ya gesi na udhibiti wa ujazaji haramu wa gesi. Washiriki wa mafunzo wakionesha vyeti vyao baada ya kukamilisha mafunzo ya matumizi sahihi ya gesi na udhibiti wa ujazaji haramu wa gesi. Washiriki wa mafunzo ya Taifa Gas na wawakilishi wa USHITA wakipiga picha ya pamoja baada ya kuk…