KING D YAZINDUA RASMI PIKIPIKI MPYA SHINYANGA, NYOROBI WASAMBAZAJI RASMI KANDA YA ZIWA

KING D YAZINDUA RASMI PIKIPIKI MPYA SHINYANGA, NYOROBI WASAMBAZAJI RASMI KANDA YA ZIWA
Furaha wakati wa Uzinduzi wa pikipiki mpya za King D ukifanyika mjini Shinyanga, Septemba 21, 2026. Balozi wa King D Pikipiki, Barnaba Classic akitumbuiza wakati wa uzinduzi rasmi wa pikipiki mpya za King D uliofanyika mjini Shinyanga, Septemba 21, 2026. Mkurugenzi wa King D, Dustan Philbert, akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa pikipiki mpya za King D uliofanyika mjini Shinyanga, Septemba 21, 2026. Balozi wa Nyorobi Pikipiki na Spea Hussein Abdullah, maarufu Manoma Action akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa pikipiki mpya za King D uliofanyika mjini Shinyanga, Septemba 21, 2026. Na Mwandishi Wetu, Malunde 1 blog Kampuni ya King D Pikipiki imezindua rasmi pikipiki zake mpya katika soko la Mkoa wa Shinyanga, huku Nyorobi Pikipiki na Spea ikitangazwa kuwa msambazaji na muuzaji rasmi wa pikipiki hizo pamoja na spea zake halisi kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa. Uzinduzi huo umefanyika leo, Septemba 21, 2026, mjini Shinyanga, katika hafla iliyohudhuriwa na wadau mbalimbali, wafanyabiashara na wa…