DKT. HOMERA AIOMBA TANAPA KUONGEZA NGUVU KUDHIBITI WANYAMA WANAOHATARISHA WANANCHI
DKT. HOMERA AIOMBA TANAPA KUONGEZA NGUVU KUDHIBITI WANYAMA WANAOHATARISHA WANANCHI
Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Dkt.Juma Zuberi Homera akizungumza na wananchi kwa nyakati tofauti wakati wa ziara yake ambayo inaendelea katika jimbo hilo la Namtumbo lengo kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi wa kero hizo Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Nyerere na Mkuu wa kanda ya kusini Kamanda Deogratus Ndelolia akijibu hoja ya Mheshimiwa Mbunge na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Juma Zuberi Homera baada ya kuombwa kutekeleza na kudhibiti wanyama wakali wanaoingia katika maeneo ya wananchi kijiji cha Mandela na uharibifu wa mazao ya chakula Wananchi waliojitokeza katika ziada ya Mheshimiwa Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Dkt.Juma Zuberi Homera kwa lengo la kutoa kero zao ili zifanyiwe kazi kwa vitendo Na Regina Ndumbaro Namtumbo-Ruvuma Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, amemuomba Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Nyerere na Mkuu wa Kanda ya Kusini, Kamanda Deogra…