BARRICK YAFANIKISHA UJENZI WA MADARASA KUNUFAISHA WANAFUNZI WA JAMII YA KIMASAI LONGIDO

BARRICK YAFANIKISHA UJENZI WA MADARASA KUNUFAISHA WANAFUNZI WA JAMII YA KIMASAI LONGIDO
Meneja Mkazi wa Barrick nchini , Dkt. Melkiory Ngido akisalimiana na wananchi na wazee wa kimila wa Kijiji cha Kiseriani kata ya Engikaret , Wilaya ya Longido mara baada ya uzinduzi wa ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi ya Shikinzi wilayani Longido. Meneja Mkazi wa Barrick nchini, Dkt. Melkiory Ngido akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kiseriani Kata ya Engikaret Wilaya ya Longido katika uzinduzi wa ujenzi wa madarasa na nyumba za walimu mradi uliofanikishwa na Kampuni ya Barrick nchini. Meneja Mkazi wa Barrick nchini, Dkt. Melkiory Ngido na Mbunge wa Jimbo la Longido na Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa. Sehemu ya madarasa Kampuni ya Barrick inayoendesha shughuli zake kwa ubia na serikali ya Tanzania kupitia kampuni ya Twiga Minerals imeunga mkono nguvu ya wananchi wa kijiji cha Kiseriani Kata ya Engikaret Wilaya ya Longido Mkoani Arusha na viongozi wao kufanikisha ujenzi wa madarasa na miundombinu ya shule ya msingi Shikinzi kukabiliana na changamoto ya wanafunzi wa e…