WAZIRI SANGU -KAULIMBIU YA PSSSF YA ‘TUNALIPA JANA’ INAFANYIKA KWA VITENDO

WAZIRI SANGU -KAULIMBIU YA PSSSF YA ‘TUNALIPA JANA’ INAFANYIKA KWA VITENDO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu (MB) (Mwenye Suti) akisikiliza maelezo ya Huduma zinazopatikana katika banda la Mfuko wa PSSSF katika Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Kanda ya Kusini yanayoendelea katika Viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi Agosti 5, 2026 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Ajira na Mahusiano, Mh.Deus Sangu (MB) (wanne kushoto), akipokea zawadi toka kwa Meneja wa PSSSF Kanda ya Kusini, Bw. Jafari Merai Mgala, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Kanda ya Kusini, Viwanja vya Nganga Mkoani Lindi Agosti 5, 2026. Wananchi wakiwa kwenye banda la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus Sangu, alipokuwa akizungumza kwenye Maonesho ya Kilimo (Nanenane) Kanda ya Kusini kwenye Viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi Agosti 5, 2026 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu…