WAZIRI SANGU AZITAKA PSSSF,NSSF,WCF NA OSHA KUONGEZA MATUMIZI YA TEHAMA

WAZIRI SANGU AZITAKA PSSSF,NSSF,WCF NA OSHA KUONGEZA MATUMIZI YA TEHAMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu (kushoto), akizungumza na watendaji kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) jijini Dar es Salaam Agosti 8, 2026. .Baadhi ya Watendaji kutoka Taasisi zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano za PSSSF, NSSF na OSHA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, akizungumza na watendaji kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) jijini Dar es Salaam Agosti 8, 2026. Dar es salaam, Agosti 8, 2026 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Mhe. Deus Sangu (Mb) leo (Jumamosi, Agosti 8, 2026) amefanya vikao kazi jijini Dar es salaam na Menejimenti…