MUSWADA WA SHERIA YA MIKOPO KWA DHAMANA ZA MALI ZINAZOHAMISHIKA WAWASILISHWA BUNGEN

MUSWADA WA SHERIA YA MIKOPO KWA DHAMANA ZA MALI ZINAZOHAMISHIKA WAWASILISHWA BUNGEN
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026, unaolenga kuweka mfumo bora wa usimamizi wa mikopo inayotolewa kwa kutumia mali zinazohamishika kama dhamana. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kushoto) na Naibu Mawaziri wake, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb)(Katikati) na Mhe. Laurent Luswetula (Kulia), wakisikiliza hoja za wabunge mbalimbali kuhusu Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa Mwaka 2026, uliowasilishwa, ambao unaolenga kuweka mfumo bora wa usimamizi wa mikopo inayotolewa kwa kutumia mali zinazohamishika kama dhamana. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Katikati), Naibu Mawaziri wake, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb) (wanne kushoto) na Mhe. Laurent Luswetula (wa nne kulia), na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Nsubili Joshua (wa tatu kushoto), mara baada ya kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Mik…