MAVUNDE AZINDUA HELIKOPTA YA KISASA YA BARRICK KWA AJILI YA UTAFITI WA KIJIOLOJIA MKOANI MARA

MAVUNDE AZINDUA HELIKOPTA YA KISASA YA BARRICK KWA AJILI YA UTAFITI WA KIJIOLOJIA MKOANI MARA
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, akiwa ndani ya helikopta ya kisasa ya Barrick iliyozinduliwa kwa ajili ya kufanya utafiti wa kijiolojia mkoani Mara. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, akikata utepe kuzindua rasmi helikopta ya kisasa ya Barrick kwa ajili ya utafiti wa kijiolojia mkoani Mara. Wengine pichani ni viongozi wa Mkoa wa Mara pamoja na viongozi wa Barrick nchini. Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick North Mara,Apolinary Lyambiko akitoa maelezo kwa Waziri Mavunde kuhusu shughuli za utafiti zitakazofanywa na helikopta hiyo mkoani Mara. Muonekano wa helikopta ya kisasa ya Barrick iliyozinduliwa kwa ajili ya kufanya utafiti wa kijiolojia mkoani Mara. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa helikopta ya kisasa ya Barrick kwa ajili ya utafiti wa kijiolojia mkoani Mara.                                                   ** 👉Kutumika pia kusaidia tafiti maeneo ya wachimbaji wadogo Tarime Waziri wa madini, Mhe. Anthony Mavunde amezindua helikopt…