MAKAMU WA RAIS DKT.NCHIMBI ATUA ZANZIBAR KUSHIRIKI UFUNGUZI WA JENGO KUELEKEA TAMASHA LA KIZIMKAZI

MAKAMU WA RAIS DKT.NCHIMBI ATUA ZANZIBAR KUSHIRIKI UFUNGUZI WA JENGO KUELEKEA TAMASHA LA KIZIMKAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Zanzibar, leo tarehe 11 Agosti 2026. Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jengo la Dakhalia katika Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame – Kibuteni Unguja, ikiwa ni shamrashamra ya Tamasha la Kizimkazi. (Kizimkazi Festival 2026)