WAZIRI WA ULINZI AJIONEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME YA ETDCO, SABASABA
WAZIRI WA ULINZI AJIONEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UMEME YA ETDCO, SABASABA Mhandisi wa Umeme wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) Aron Julius Munuo (Katikati) akitoa taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya umeme kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo (wa kwanza kushoto) wakati alipotembelea banda la ETDCO katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Uhusiano Kampuni ya ETDCO Bi. Samia Chande wakati alipotembelea Banda la Kamapuni hiyo katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) ……… Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho, leo Julai 6, 2026, ametembelea banda la Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) kat…