WAZIRI MKUU: TUTAFUTE MBINU MPYA ZA KUKIENEZA KISWAHILI
WAZIRI MKUU: TUTAFUTE MBINU MPYA ZA KUKIENEZA KISWAHILI Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza alipofunga Maadhimisho ya Tano ya Wiki ya Kiswahili Duniani kwenye ukumbi wa Makao Mkuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) jijini Paris, Ufaransa, Julai 7, 2026. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye tukio hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akitia saini kitabu cha wageni alipowasili kwenye Makao Mkuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) jijini Paris Ufaransa na kupokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Profesa Khaled El-Enany (kulia), Julai 7, 2026. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Profesa Khaled El-Enany alipowasili kwenye Makao Mkuu ya UNESCO jijini Paris, Ufaransa, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani, Ju…