Picha : TAMASHA LA UTAMADUNI 'SHINYANGA SUKUMA FESTIVAL & BUSINESS EXPO SEASON 5' LAZINDULIWA
Picha : TAMASHA LA UTAMADUNI 'SHINYANGA SUKUMA FESTIVAL & BUSINESS EXPO SEASON 5' LAZINDULIWA
Mratibu wa Tamasha la Utamaduni wa Msukuma, Peter Frank Lugumi maarufu kama Mr. Black, akifanyiwa taratibu za kimila wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni wa Msukuma msimu wa tano, linalofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Nhelegani, Manispaa ya Shinyanga. Chifu wa Kizumbi Kidola wa Pili, Charles Njange, akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni wa Msukuma msimu wa tano lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Nhelegani, Manispaa ya Shinyanga, Julai 24, 2026. Chifu wa Kizumbi Kidola wa Pili, Charles Njange (kushoto mwenye shati la kitenge), akibariki ngoma za asili wakati wa uzinduzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni wa Msukuma msimu wa tano lililofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Nhelegani, Manispaa ya Shinyanga, Julai 24, 2026. Chifu wa Kizumbi Kidola wa Pili, Charles Njange (katikati), akiwasili katika Viwanja vya Shule ya Msingi Nhelegani, Manispaa ya Shinyanga, kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni wa Msukuma msimu wa tano li…