MBUNGE AZZA HILLAL AKABIDHI AMBULANCE TINDE, AAHIDI KUENDELEA KUSUKUMA MAENDELEO YA WANANCHI WA ITWANGI

MBUNGE AZZA HILLAL AKABIDHI AMBULANCE TINDE, AAHIDI KUENDELEA KUSUKUMA MAENDELEO YA WANANCHI WA ITWANGI
Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Mhe. Azza Hillal Hamad, akijaribu kuwasha gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) wakati wa makabidhiano rasmi ya gari hilo kwa ajili ya Kituo cha Afya Tinde, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Mhe. Azza Hillal Hamad, akikata utepe kuashiria makabidhiano rasmi ya gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya Kituo cha Afya Tinde, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Dkt. Kalekwa Kasanga. Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Mhe. Azza Hillal Hamad, akikata utepe kuashiria makabidhiano rasmi ya gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya Kituo cha Afya Tinde, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Dkt. Kalekwa Kasanga. Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Mhe. Azza Hillal Hamad, akimkabidhi ufunguo wa gari la kubebea wagonjwa (Ambulance) Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Dkt. Kalekwa Kasanga, wakati wa makabidhiano rasmi ya gari hilo kwa ajili ya Kituo…