MAHAFALI YA 69 KOLANDOTO: WAHITIMU 191 WATUNIKIWA VYETI, BODI YATAKA HADHI YA CHUO KIKUU

MAHAFALI YA 69 KOLANDOTO: WAHITIMU 191 WATUNIKIWA VYETI, BODI YATAKA HADHI YA CHUO KIKUU
Sehemu ya wahitimu 191 wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto katika Mahafali ya 69 ya chuo hicho. Sehemu ya wahitimu 191 wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto katika Mahafali ya 69 ya chuo hicho. Sehemu ya wahitimu 191 wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto katika Mahafali ya 69 ya chuo hicho. Sehemu ya wahitimu 191 wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto katika Mahafali ya 69 ya chuo hicho. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto, Dkt. Joseph Mayala, akizungumza wakati wa Mahafali ya 69 ya chuo hicho. Mkuu wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto, Paschal Shiluka, akizungumza wakati wa Mahafali ya 69 ya chuo hicho. Katibu Mkuu wa AICT, Josephales Mtembe, akizungumza wakati wa Mahafali ya 69 ya Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto. Na Mwandishi Wetu - Malunde 1 blog Jumla ya wahitimu 191 wametunukiwa vyeti katika ngazi za Astashahada na Shahada katika Mahafali ya 69 ya Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto, huku Bodi ya Wakurugenzi ya chuo hicho ikiitaka menejimenti kuharak…