CHEREHANI AKAGUA ENEO UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ISANGA: "HAKUNA MWANANCHI ATAKAYETOZWA FEDHA, SERIKALI IMETOA MILIONI 603"
CHEREHANI AKAGUA ENEO UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI ISANGA: "HAKUNA MWANANCHI ATAKAYETOZWA FEDHA, SERIKALI IMETOA MILIONI 603"
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Isanga, Kata ya Idahina, kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Isanga. Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Isanga, Kata ya Idahina, kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Isanga. Mmoja wa wananchi wa Kijiji cha Isanga, Kata ya Idahina, akiuliza kuhusu utaratibu wa kupata mikopo inayotolewa na Halmashauri wakati wa mkutano wa hadhara ulioongozwa na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, Julai 20, 2026. Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, akizungumza na wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero, maoni na mapendekezo yao kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Kijiji cha Isanga, Kata ya Idahina, Julai 20, 2026. Wananchi wa Kijiji cha Isanga, Kata ya Idahina, wakifuatilia kwa makini mkutano wa hadhara ulioongozwa na Mbu…