“ZERO MALARIA” YA BARRICK YAFIKIA KAYA ELFU 44 MSALALA
“ZERO MALARIA” YA BARRICK YAFIKIA KAYA ELFU 44 MSALALA
Mratibu wa Wadudu Wadhulifu ngazi ya Wilaya, Jullieth Petro, akimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki wa zoezi la upuliziaji dawa majumbani kwenye mazalia ya mbu, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kupambana na ugonjwa wa malaria kupitia mradi wa “Zero Malaria” unaotekelezwa na Mgodi wa Barrick Bulyanhulu. Kushoto ni Mkurugenzi wa Gekahil, Bw. Gerald Elias (mwenye miwani), huku wa tatu kutoka kushoto akiwa ni Afisa Mahusiano ya Jamii wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, Zuwena Senkondo. Mratibu wa Wadudu Wadhulifu ngazi ya Wilaya, Jullieth Petro, akimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki wa zoezi la upuliziaji dawa majumbani kwenye mazalia ya mbu, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kupambana na ugonjwa wa malaria kupitia mradi wa “Zero Malaria” unaotekelezwa na Mgodi wa Barrick Bulyanhulu. Kushoto ni Mkurugenzi wa Gekahil, Bw. Gerald Elias (mwenye miwani), huku wa tatu kutoka kushoto aki…