WIZARA YA FEDHA YAWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA WIZARA KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2026.
WIZARA YA FEDHA YAWAKARIBISHA WANANCHI KUTEMBELEA BANDA LA WIZARA KATIKA MAONESHO YA SABASABA 2026. Mwandishi Mwendesha Ofisi Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Bi. Masia Msuya, akiwasainisha kitabu cha wageni wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha, katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu kuu “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Afisa Mikopo Wa Hazina Saccoss, Bi. Miriam Msalanga, akitoa elimu kuhusu mikopo inayotolewa na chama hicho, kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yenye Kaulimbiu kuu “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba ni Fahari ya Tanzania”, yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. J.K Nyerere, jijini Dar es Salaam. Afisa Hesabu, Huduma za Mfuko Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Juliana Owiso, akitoa maelezo kuhusu uhakiki wa wastaafu, kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha, katika Maonesho ya 50 …