UTEKELEZAJI WA MKAKATI ENDELEVU WA BARRICK WAZIDI KUNUFAISHA WATANZANIA

UTEKELEZAJI WA MKAKATI ENDELEVU WA BARRICK WAZIDI KUNUFAISHA WATANZANIA
Baadhi ya wafanyabiashara wa Tarime waliopata mafunzo kupitia programu ya Local Business Development Program ya Barrick ambayo inazidi kufungua fursa kwa wafanyabiashara wazawa kunufaika na fursa za biashara kwenye migodi (picha kutoka Maktaba) Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick North Mara, Apolinary Lyambiko akiongea katika moja ya mafunzo yanayoendeshwa na kampuni kwa ajili ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara wazawa ili wachangamkie fursa za kibiashara zilizopo katika migodi ya Barrick (picha kutoka maktaba) Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Kemanyaki inayotoa huduma mbalimbali katika mgodi wa Barrick North Mara wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wao Mkuu. Migodi ya Barrick imetoa fursa kwa wazawa kuanzisha makampuni ya kutoa huduma migodini na kutoa kipaumbele kutoa ajira kwa wananchi wanaotokea katika maeneo yanayozunguka migodi yake iliyopo Tarime na Msalala. *** Wakati kampuni ya Barrick Mining Corporation imetoa ripoti ya utekelezaji wa masuala endelevu ya mwaka kipindi cha…