TARURA KUENDELEA KUJENGA MADARAJA YA MAWE NCHI NZIMA -SUNGURA
TARURA KUENDELEA KUJENGA MADARAJA YA MAWE NCHI NZIMA -SUNGURA
Na Mwandishi wetu, Dodoma Wakala wa barabara za mijiini na vijijini (TARURA) inaendelea na uboreshaji wa miundombinu ya barabara nchini huku serikali ikiwa imetoa takribani ya fedha shilingi Milioni 65 kwa ajili ya ujenzi wa barabara hizo yakiwemo madaraja ya mawe. Akizungumza na Wanahabari Kwenye Maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma mkoani dodoma mkuu wa kitengo na uhusiano kwa umma Tarura Catherine Sungura amesema Tarura tunahudumia barabara zenye urefu wa laki moja na 44 nchi nzima huku barabara za lami zikiwemo barabara za lami,mawe na udongo. Tunaendelea kujenga Madaraja nchi nzima katika kuhakikisha jamii inapata huduma za maendeleo kupitia barabara hizo hivyo kufikia sasa tuna madaraja 490 . " mwaka 2024, 2025 Tarura tulipokea fedha kutoka benki ya dunia takribani ya dola Milioni 65 katika kwenda kuboresha barabara ambazo ziliathirika na Mvua za Elnino ambapo kwa sasa tumerudisha Mawasiliano ya barabara hizo kwa asilimia 70 katika Vijiji,Wilaya na Mikoa." Ame…