PROF. SHEMDOE AIELEKEZA KAMPUNI YA CRBC KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA 7 UBUNGO IFIKAPO AGOSTI 14, 2026
PROF. SHEMDOE AIELEKEZA KAMPUNI YA CRBC KUKAMILISHA UJENZI WA BARABARA 7 UBUNGO IFIKAPO AGOSTI 14, 2026 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe akitoa maelekezo kwa Mkandarasi kampuni ya China Railways and Bridges Corporation (CRBC), wakati wa ziara yake ya kukagua barabara zinazojengwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Jiji la Dar es Salaam Awamu ya Pili (DMDP II) katika Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe akisisitiza jambo kwa Mkandarasi kampuni ya China Railways and Bridges Corporation (CRBC), wakati wa ziara yake ya kukagua barabara zinazojengwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Jiji la Dar es Salaam Awamu ya Pili (DMDP II) katika Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya wa Ubungo Mhe. Albert Msando akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo ya…