POLISI RUVUMA WABAINI WIZI WA BETRI ZA TANESCO NA UHUJUMU WA UMEME WA MILIONI 32.
POLISI RUVUMA WABAINI WIZI WA BETRI ZA TANESCO NA UHUJUMU WA UMEME WA MILIONI 32.
Na Regina Ndumbaro Songea-Ruvuma Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawashikilia watu kadhaa, akiwemo mhasibu, fundi na walinzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kwa tuhuma za kuhusika na wizi wa betri 28 za volti 12 aina ya DRYCELL zenye thamani ya Sh milioni 32.4 zilizokuwa zimehifadhiwa katika ofisi kuu za shirika hilo kwa matumizi ya dharura.