MHE. BALOZI OMAR: BENKI YA DUNIA MSHIRIKA MUHIMU WA MAENDELEO YA TANZANIA

MHE. BALOZI OMAR: BENKI YA DUNIA MSHIRIKA MUHIMU WA MAENDELEO YA TANZANIA
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(Katikati), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania anayemaliza muda wake, aliyekuwa akiziwakilisha pia nchi za Malawi, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan Belete (kushoto) na Mkurugenzi Mkazi Mpya wa Benki hiyo hapa nchini Bw. Firas Raad, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kumuaga Bw. Belete na kumkaribisha Mkurugenzi Mpya Bw. Raad, hafla liyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza wakati wa hafla ya kumuaga Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania anayemaliza muda wake, aliyekuwa akiziwakilisha pia nchi za Malawi, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan Belete (hayupo pichani) na kumkaribisha Mkurugenzi Mkazi Mpya wa Benki hiyo hapa nchini Bw. Firas Raad, hafla iliyofanyika katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam, ambapo alimshukuru Mkurugenzi huyo na Benki ya Dunia kwa mchango mkubwa katika maendeleo ya nchi kupitia program na …