IDARA YA UCHAMBUZI WA SERA YA WIZARA YA FEDHA YATOA ELIMU YA KODI NA SERA ZA UCHUMI KWA WANANCHI.
IDARA YA UCHAMBUZI WA SERA YA WIZARA YA FEDHA YATOA ELIMU YA KODI NA SERA ZA UCHUMI KWA WANANCHI. Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu, Idara ya Uchambuzi wa Sera, Wizara ya Fedha, Bw. Abdul Dachi, akitoa elimu kwa wananchi wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026, yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma. Afisa Habari Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Eva Valeria (kulia) na Afisa Habari, Wizara ya Fedha, Bw. Joseph Mahumi, wakimpa mwanafunzi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Bi. Nice Justace, maelekezo wa namna ya kujiunga na mitandao ya kijamii ya Wizara ya Fedha, ikiwemo, Instagram (urt mof), Facebook (Wizara ya Fedha), LinkedIn (Ministry of Finance -Tanzania), Youtube – Hazina TV. Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi, Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Grace Samwel, akitoa elimu kwa wanafunzi wa Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP) kuhusu matumizi ya huduma rasmi za kifedha, walipotembelea Banda la Wizara ya Fedha, katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026, yanayoendelea katika Viwanja vya Chinanga…