TANZANIA NA UTURUKI ZASAINI MIKATABA KUONDOSHA UTOZAJI WA KODI MARA MBILI

TANZANIA NA UTURUKI ZASAINI MIKATABA KUONDOSHA UTOZAJI WA KODI MARA MBILI
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer, wakisaini Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA), katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo hatua  hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer, wakibadilishana Mikataba ya Kuondoa Utozaji wa Kodi Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji wa Kodi katika Mapato (DTA), baada ya kusaini mikataba hiyo katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo hatua hiyo inatarajiwa kuchochea uwekezaji na biashara kati ya mataifa hayo mawili. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (Kulia) na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Balozi Dkt. Bekir Gezer, wakionesha Mikataba ya Kuo…