WAZIRI WA FEDHA MHE. BALOZI OMAR ATETA NA UONGOZI WA AfDB,
WAZIRI WA FEDHA MHE. BALOZI OMAR ATETA NA UONGOZI WA AfDB, Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiongoza kikao chake na Ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika, Ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Kanda ya Afrika Bw. Ronald Cafrine, ulipomtembelea katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar Es Salaam. Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El maamry Mwamba (kushoto), akiteta jambo na Meneja wa Benki ya AfDB, Bi. Mary Manneko Monyau, baada ya Kikao cha Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omari (Mb), na Ujumbe kutoka AfDB, kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar Es Salaam. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akiagana na Meneja wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, AfDB, Bi. Mary Manneko Monyau, baada ya kikao chake na Ujumbe wa benki hiyo katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar Es Salaam. Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wanne kulia), Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El maamry Mwamba (kulia), wakiwa katika picha ya pamoja na Ujumb…