WAMILIKI WA MAGARI SHINYANGA WALALAMIKIA MAFUTA YALIYOCHANGANYWA NA MAJI

WAMILIKI WA MAGARI SHINYANGA WALALAMIKIA MAFUTA YALIYOCHANGANYWA NA MAJI
@malundeblog ⛽🚧 WAMILIKI WA MAGARI SHINYANGA WALALAMIKIA MAFUTA YANAYODAIWA KUCHANGANYWA NA MAJI 🚦 POLISI NA EWURA WACHUNGUZA👇🏻👉🏿 Wamiliki wa vyombo vya moto waliokwenda kujaza mafuta katika kituo kimoja cha mafuta cha Mjini Shinyanga, wamelalamikia kuwekewa mafuta yanayodaiwa kuchanganywa na maji, hali iliyosababisha magari yao kupoteza nguvu mara baada ya kujaza. https://www.malunde.com/2026/04/Mafuta-Maji.html ♬ original sound - Malunde Na Kadama Malunde – Malunde 1 Blog Wamiliki wa vyombo vya moto waliokwenda kujaza mafuta katika kituo kimoja cha mafuta cha Mjini Shinyanga, wamelalamikia kuwekewa mafuta yanayodaiwa kuchanganywa na maji, hali iliyosababisha magari yao kupoteza nguvu mara baada ya kujaza. Wakizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 7,2026 baadhi ya wamiliki hao, akiwemo Yona Limo na Adamu Richard , wamesema waligundua hitilafu hizo wakiwa bado hawajaondoka katika kituo hicho, baada ya magari yao kuanza kuonyesha dalili zisizo za kawaida mara tu baada ya kujaza ma…